Viwanja (vimepimwa) vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Kwa Mapinga viko Viwanja vya size na bei zifuatazo: 20/20 (sqm 400 ) kwa sh 4 milion, 20/30 (sqm 600 ) kwa sh 6 milion, 20/40 (sqm 800 ) kwa sh 8 milion, 20/35 (sqm 700 ) kwa sh 9 milion, sqm 1400 kwa sh 18 milion, sqm 1500 kwa sh 20 milion, sqm 2000 kwa sh 31 milion, sqm 3000 kwa sh 40 milion, 1 acre kwa sh 55 milion.

Pia iko plot 1 ya sqm 1000 (25/40) upande wa kiharaka (kiembeni beach) jirani na Ndoto polepole, plot inauzwa kwa sh 18 milion. Plots ziko umbali wa km 3 kutoka main road

Kwa Bunju ziko plot 2 zimepakana na kila moja ina ukubwa wa sqm 1700 kwa bei ya sh 45 milion sawa na tsh 90 milion (ukiziunganisha zote mbili).

Hint: Hakuna dalali.

For more information, call 0758603077, whatsap 0757489709, email: menejadar@yahoo.com


from MPEKUZI

Comments