TAKUKURU Hai Yamfikisha Mahakamani Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi na Mfanyabiashara Mmoja

Watu wawili akiwamo Mfanyabiashara wa mjini Moshi, Oscar Kigumu, wamefikishwa kortini jana Agosti 14, 2018 wilayanj Hai kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh27.6 milioni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Mfanyabiashara huyo anayemiliki kampuni ya Oscar Food and Beverage Catering Services, ameshitakiwa pamoja na mkuu wa kitengo cha uchaguzi wa Halmashauri ya Hai, Edward Ntakiliho.


from MPEKUZI

Comments